MABORESHO YA MIFUMO YA NDANI YA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA OFISI
Kwa wafanyakazi wetu wote na umma kwa ujumla, Kutokana na maamuzi yaliyotolewa na Bodi ya Ushauri katika mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika tarehe 23/07/2020. Uongozi wa kampuni ya Moyo Media inawataarifu wafanyakazi wake wote kwamba “Kila mfanyakazi wa Moyo Media Company Limited atatakiwa kuwasilisha taarifa zake binafsi upya, taarifa hizo ni pamoja na vivuli vyake Read more about MABORESHO YA MIFUMO YA NDANI YA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA OFISI[…]