MOYO MEDIA YAZINDUA #POSTAYETU

Tunayo furaha kuitambulisha #POSTAYETU kwa wateja wetu na umma kwa ujumla.

 

#POSTAYETU: Ni kuponi ambayo itamuwezesha mtumiaji wa huduma za posta kupata punguzo la 10% kwa kila bidhaa au huduma atakayo nunua kutoka kwetu. Ili mtumiaji wa posta aweze kupata punguzo hilo ni lazima aitoe nakala “copy” ya bahasha yenye kuponi wakati akifanya malipo ya huduma/bidhaa kwetu.

15 thoughts on “MOYO MEDIA YAZINDUA #POSTAYETU

Comments are closed.