SALAMU ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI (2019 G/1440 H)

“As Salaam A’laykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh”

Uongozi wa Moyo Media Co. Ltd unatoa salamu za pongezi kwa waislamu wote duniani na kuwatakia kheri na Baraka za mwezi mtukufu Ramadhani (2019 G/1440 H)

Kwa kusherehekea kuja kwa mwezi wa kuchuma mema, kupata msamaha, rehma, Uongozi wa kampuni ya Moyo Media unayofuraha kutoa punguzo la 30% kwa wateja wake wote kwa kila bidhaa au huduma utakayo nunua ndani ya mwezi huu wa Ramadhani.

Tunawatakia mfungo mwema na funga zenye kukubaliwa na Allah (S.W)

Nyote Mnakaribishwa,

Wabi’llahi Tawfiq,

Umetolewa na

UONGOZI,

Moyo Media Co. Ltd