TAARIFA KWA UMMA

TAARIFA KWA UMMA

As Salaam A’laykum,

KUFUNGA OFISI YETU ILIOKO MISUFINI, CHAKE CHAKE, PEMBA

Uongozi wa kampuni unawataarifu wateja wetu na umma kwa ujumla ya kwamba; kuanzia leo tarehe 06-09-2020 tunafunga ofisi yetu iliyoko maeneo ya Misufini, Chake Chake, Kusini Pemba kwa muda.

Hatua hii inaenda sambamba na uboreshaji wa mifumo yetu ya ndani ya uendeshaji na kiutawala.

Kufungwa kwa ofisi hiyo hakutoathiri mifumo ya uendeshaji, badala yake tutatumia mfumo wetu wa ofisi mtandao “vOffice”. Na kwa wateja wetu wataendelea kupata huduma kama kawaida.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa anuani zetu,

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza,

Shukrani,

Imetolewa na:

Afisa Mtendaji Mkuu,

Moyo Media Co. Ltd