SALAMU ZA RAMBIRAMBI

SALAMU ZA RAMBIRAMBI Uongozi wa kampuni ya Moyo Media pamoja na kampuni tanzu zinazomilikiwa na Moyo Media Company Limited tunatoa salamu za rambirambi kwa familia ya  mjane wa Hayati, Rais Magufuli, Mama Janeth Magufuli, watoto, ndugu na jamaa kwa  kuondokewa na mpendwa wao na wananchi wote wa Tanzania kwa pigo hili kubwa. Ni msiba mzito ambao hatukutarajia, Read more about SALAMU ZA RAMBIRAMBI[…]