SALAMU ZA RAMBIRAMBI
SALAMU ZA RAMBIRAMBI Uongozi wa kampuni ya Moyo Media pamoja na kampuni tanzu zinazomilikiwa na Moyo Media Company Limited tunatoa salamu za rambirambi kwa familia ya mjane wa Hayati, Rais Magufuli, Mama Janeth Magufuli, watoto, ndugu na jamaa kwa kuondokewa na mpendwa wao na wananchi wote wa Tanzania kwa pigo hili kubwa. Ni msiba mzito ambao hatukutarajia, Read more about SALAMU ZA RAMBIRAMBI[…]